Tume ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza matokeo ya Uraisi na kumtaja Mhe DrJohn Pombe Magufuli mgombea Uraisi kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi kuwa mshindi na Rais Mteule - Hivyo Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Damian Z. Lubuva
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kumtangaza kuwa Mshindi kwa asilimia 58.46%
Huku Vyama vingine vya siasa kama chadema [37.97%] kwa maelezo zaidi tutaendelea kukujuza bofya hapa kufahamu zaidi http://www.hakingowi.com/2015/10/rais-ni-magufuli-tume-yamtangaza.html
MATOKEO
Profesa Mapesa ndani ya Banda la TIA Maonesho ya Wiki ya Kitaifa Elimu
,Tanga
-
Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) Profesa Haruni Mapesa
akisaini Kitabu wakati alipotembelea Banda la TIA katika Wiki ya Elimu
Kita...
10 hours ago


0 comments:
Post a Comment