BREAKING NEWS: Mgombea urais wa chama cha CCM Mh. John Pombe Magufuli ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya tano
BREAKING NEWS: Mgombea urais wa chama cha CCM Mh. John Pombe Magufuli ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya tano kwa kupata kura milioni 8,882,935 dhidi ya mpinzani wake wa karibu Edward Lowassa aliyepata kura milioni 6,072,848HONGERA SANA DK. JOHN POMBE MAGUFULI
Mama Samia Hassan Suluhu mgombea mwenza wa CCM anaweka historia ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa Makamu wa Rais nchini Tanzania. Ametangawa rasmi na Tume ya uchaguzi kushinda kiti hicho cha Makamu wa Rais wa Tanzania
Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli
-
*By Dr. Herman Louise Verhofstadt*
* “A BIT like President Donald Trump, Tanzania’s president, John Magufuli,
likes to fire employees on television. In No...
Karibu sana kwenye blog hii unaweza kutuma Tangazo lako na ukatangaza Biashara yako kwa bei nafuu kabisa wasiliana nami kwa simu 0715357038
Welcome to this blog you can send your ad and advertise your business for very cheap contact me by phone 0715357038
0 comments:
Post a Comment