Akizungumza na wananchi wa Jimbo LA Korogwe amesema endapo watamchagua Yeye na jump a fursa kuiongoza Tanzania ameahidi kuwa makini na kuleta Maendeleo ya kweli kwa watanzania wote na pia amewasisitiza kuwachagua Wabunge na madiwani wa Ukawa katika Jimbo LA korogwe huku akisisitiza kurekebisha Elimu pamoja na Hospitali ya wilaya Magunga na kusema pia tatizo LA maji nalo litakwisha
Profesa Mapesa ndani ya Banda la TIA Maonesho ya Wiki ya Kitaifa Elimu
,Tanga
-
Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) Profesa Haruni Mapesa
akisaini Kitabu wakati alipotembelea Banda la TIA katika Wiki ya Elimu
Kita...
10 hours ago