Akizungumza na wananchi wa Jimbo LA Korogwe amesema endapo watamchagua Yeye na jump a fursa kuiongoza Tanzania ameahidi kuwa makini na kuleta Maendeleo ya kweli kwa watanzania wote na pia amewasisitiza kuwachagua Wabunge na madiwani wa Ukawa katika Jimbo LA korogwe huku akisisitiza kurekebisha Elimu pamoja na Hospitali ya wilaya Magunga na kusema pia tatizo LA maji nalo litakwisha
Serikali Kuimarisha Utendaji wa Watumishi wa Umma Kupitia Mageuzi ya
Kidijitali -Ridhiwani Kikwete
-
SERIKALI imeeleza dhamira yake ya kusogeza huduma karibu na wananchi na
kuongeza uwazi katika ajira za umma kupitia matumizi ya teknolojia ya
kidijitali, ...
4 hours ago