Rais Dk. John Pombe Magufuli amevamia tena leo katika Hospitali ya taifa ya Muhimbili na kutembelea wagonjwa mbalimbali pamoja na kuzungumza nao, ili kujua matatizo wanayokabiliana nayo katika kupata huduma, Dk. Magufuli pia amemjulia hali Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na haki za binadamu LHRC Mama Hellen Kijo Bisimba ambaye amelazwa hospitalini hapo kutokana na majereaha aliyoyapata wakati alipopata ajali na gari lake maeneo ya Upanga jijini Dar es salaam na kulazwa hospitalini hapo
AKIWASALIMIA WAGONJWA MBALIMBALI KATIKA HOSPITALI
0 comments:
Post a Comment